Osamu Shimomura (amezaliwa 27 Agosti 1928 ) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Japani . Hasa alichunguza sifa za protini fulani. Mwaka wa 2008 , pamoja na Roger Tsien na Martin Chalfie alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia .