Ordu ni jina la kutaja mji na bandari uliopo katika pwani ya Bahari Nyeusi huko nchini Uturuki . Huu ndio mji mkuu wa Jimbo la Ordu . Kiasili jina lina maana ya "jeshi" kwa Kituruki (lakini limetokana na Kiingereza cha kisasa yaani "horde"). Mji una wakazi takriban 136,000, kwa mujibu wa sensa walioifanya katika mwaka wa 2008. Mji upo m 5 kutoka juu ya usawa wa bahari .