Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Njozi
ni
istilahi
inayotumika hasa katika
maisha ya kiroho
kama njia ya
mtu
kupata taarifa ya mambo yaliyopita, yaliyopo, na yale yajayo.
Neno
hilo hutumiwa pia kwa maana ya
ndoto
, ambayo ni ya kawaida pale mtu anapokuwa amepumzisha
akili
na
mwili
.
Upande wa
dini
huaminiwa kuwa
Mungu
hutumia njozi kuwasilisha
ujumbe
kwa mtu, kama habari juu ya
kazi
yake au tukio linalotaka kutukia. Kwa kifupi tu Njozi ni tukio lolote la ndoto inaweza kuwa nzuri au mbaya
|
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|