Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ninmyo
(
27 Septemba
,
808
–
6 Mei
,
850
) alikuwa mfalme mkuu wa 54 (
Tenno
) wa
Japani
. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa
Masara
, na alikuwa mwana wa pili wa Tenno
Saga
. Mwaka wa
833
alimfuata mjomba wake, Tenno
Junna
, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake,
Montoku
.
|
Makala hii kuhusu
Kaizari
fulani wa
Japani
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Ninmyo wa Japani
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|