Niels Ryberg Finsen ( 15 Desemba 1860 ? 24 Septemba 1904 ) alikuwa daktari kutoka nchi ya Denmark . Hasa alichunguza athari za nuru weknye chembe hai . Mwaka wa 1903 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .