Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Nagoya
Mahali pa Nagoya katika Aichi na
Japani
Nagoya
(名古屋市,
Nagoya-shi
) ndiyo
mji mkuu
katika
mkoa wa Aichi
. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2010, mji una wakazi wapatao milioni 2.3 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 9 kutoka
juu ya usawa wa bahari
. Eneo lake ni 326.45
km²
.
- (Kijapani)
(Kiingereza)
(Kichina)
(Kikorea)
(Kihispania)
(Kireno)
(Kiitalia)
{{[[Template:{{{1}}}|{{{1}}}]]}}
Tovuti
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Japani
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Nagoya
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|