Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwili
ni kile kinachofanya
binadamu
aonekane na kuishi katika
ulimwengu
, kwa kufanana na
wanyama
ambao pia wana mwili.
Tofauti kubwa iliyopo kati ya
viumbehai
hao, yaani mtu na mnyama, upande wa uwezo wa
akili
na utendaji pengine inaelezwa na
dini
,
falsafa
n.k. kwa kudai uwepo wa
roho
pia katika
umbile
la binadamu.
Mwili wa binadamu unaundwa na
kiwiliwili
pamoja na viungo kwa mfano
kichwa
,
shingo
,
kifua
,
mikono
mgongo na
miguu
. Mwili una
mifupa
206 ingawa binadamu anapozaliwa huwa na mifupa 270 ambayo baadaye huungana
[1]
.
Umbo
lake linategemea
urithi
lakini pia
maisha
ya mtu yalivyo.
Urefu
unategemea mambo mbalimbali, kama vile
jinsia
, kwa maana kwa kawaida
wanaume
ni warefu kuliko
wanawake
.
Kabla ya kufikia
utu uzima
, mwili unaundwa na
seli
bilioni
100.000.
Baada ya kufa, mwili wa binadamu unaitwa
maiti
, wakati ule wa mnyama unaitwa mzoga.
Elimu
ya mwili huitwa
anatomia
.
- ↑
"How Many Bones Are There In Human Body?"
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
anatomia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mwili
kama matumizi yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|