Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mtaalamu wa anga
ni
mtaalamu
wa masuala ya
elimuanga
(kwa
Kiingereza
:
astronomy
) au
elimu
ya
anga-nje
na
violwa vya angani
kama
nyota
,
sayari
,
nyotamkia
, na
galaksi
.
Kihistoria
watu
hao walitumia
muda
mwingi kuangalia nyota za
anga
kwa msaada wa
vyombo
kama
darubini
. Leo hii wataalamu wa anga hutumia hasa
kompyuta
na
data
kutokana na
vipimo
vya
paoneaanga
,
vyombo vya anga-nje
na
darubini za angani
.
Wataalamu wa anga wamesoma elimuanga ambayo ni
tawi
la pekee la
sayansi
, mara nyingi pamoja na kusoma matawi mengine ya
sayansi
kama
fizikia
,
kemia
,
biolojia
na kadhalika.
Wasichanganywe na
majusi
ambao husomea
unajimu
(kwa Kiingereza:
astrology
) na kutoa
utabiri
kuhusu
maisha
na
tabia
za watu kwa kuwa huo si
tawi
la
sayansi
yoyote, ingawa unadai kutegemea
uchunguzi
wa
nyota
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
fizikia
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mtaalamu wa anga
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|