Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Simoni
alivyochorwa na
Peter Paul Rubens
(
1611
hivi), katika mfululizo wake juu ya
Thenashara
uliopo
Museo del Prado
,
Madrid
.
Sanamu iliyoko
Bruges
inayomuonyesha akiwa na msumeno, chombo ambacho inasemekana kilitumika kumuulia.
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
|
|
|
|
Simoni Mkananayo
(alifariki
karne ya 1
) alikuwa mmojawapo kati ya
Mitume wa Yesu
.
Ili kumtofautisha na mtume mwenzake
Simoni Petro
anaitwa
Mkananayo
, yaani
Mwenye juhudi
kwa
ukombozi
wa
Israeli
kutoka
ukoloni
wa
Roma
.
Jina
lake linapatikana katika orodha zote za Mitume, lakini hatuna habari zake zaidi, isipokuwa masimulizi mbalimbali yasiyo na hakika.
Inasadikika kuwa
kaburi
lake liko
Komani
(
Georgia
).
Tangu kale anaheshimiwa kama
mtakatifu
.
Sikukuu
yake huadhimishwa
tarehe
28 Oktoba
[1]
.
- Thenashara, Mitume Kumi na Wawili ? tafsiri ya P. A. Bunju ? Toleo la pili ? ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho ? Ndanda 1984 ?
ISBN 9976-63-030-1
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mtume Simoni Mkananayo
kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|