Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Msimamizi
(kutoka
kitenzi
:
kusimama
) ni mtu ambaye anasimama imara kuhakikisha mwingine anakua vizuri au jambo linafanyika kwa ufanisi, kwa mfano
mirathi
.
Katika
madhehebu
mbalimbali ya
Ukristo
ni maarufu wasimamizi wa
ubatizo
na wa
kipaimara
wanaowajibika rasmi, wakati wa kuadhimisha
sakramenti
hizo, kwamba atamsaidia aliyezipata kuziishi vema
maisha
yake yote.
Katika baadhi ya madhehebu hayo, wanaoheshimiwa kama
watakatifu
wanatazamwa pia kama wasimamizi wa aina fulani ya watu, k.mf.
vijana
,
wajane
,
wakoma
n.k.
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Msimamizi
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|