Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mshale
(wingi: mishale) ni
ala
ya
vita
au
silaha
ndogo ifananayo na
mkuki
inayorushwa kwa
upinde
.
Kwa
maelfu
ya miaka,
watu
duniani
kote wamewahi kutumia upinde na mishale kwa
uwindaji
na kwa ajili ya
ulinzi
.
Ushahidi
wa kale kabisa wa mshale wenye
kichwa
cha
jiwe
ulipatikana
Mapango ya Sibudu
nchini
Afrika Kusini
.
[1]
. Mshale huo unaaminika kuwa ulitumika miaka 64,000 iliyopita.
Ushahidi wa kale kabisa wa matumizi ya
upinde
kurusha mshale ni wa miaka 10.000 uliopatikana
Bonde la Ahrensburg
kaskazini
mwa
mji
wa
Hamburg
, nchini
Ujerumani
.
[2]
Wikimedia Commons ina media kuhusu: