Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Moriso Lewa
(au Felix Morisseau-Leroy kwa
Kifaransa
;
Grand-Gosier
,
Haiti
,
13 Machi
1912
-
Miami
,
Marekani
,
5 Septemba
1998
) alikuwa
mwanahabari
,
mwalimu
,
mwandishi
wa
tamthilia
na
mshairi
nchini Haiti.
Aliandika
vitabu
vyake kadhaa kwa
Kihaiti
badala ya Kifaransa. Ni mwandishi mkuu wa Kihaiti.
Morisso Lewa alisomea
Jacmel
, halafu kuanzia mwaka
1940
alisomea
New York
katika
Chuo Kikuu cha Columbia
.
- 1940 ː
Plenitudes
(
ushairi
)
- 1948 ː
Natif-natal (
hadithi
)
- 1951 ː
Dyakout
(
Diacoute
) (ushairi)
- 1953 ː
Wa Kreyon
(
Antigone
) (tamthilia)
- 1991 ː
Haitiad and Oddities
(ushairi)
- 1995 ː
Les Djons d'Haiti Tom
(hadithi)
- 1996 :
Ravinodyab - La Ravine aux diables
(hadithi)
- (Kiingereza)
Michael R. Hall,
Historical Dictionary of Haiti
, Scarecrow Press, 2012, p. 178
(ISBN 9780810875494)
- (Kiingereza)
Verity Smith, ≪ Felix Morisseau-Leroy (1912-). Haitian playwright, poet and novelist ≫, in
Encyclopedia of Latin American Literature
, Taylor & Francis, 1997,
p.
568-569
(ISBN 9781884964183)
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Moriso Lewa
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|