한국   대만   중국   일본 
Momoju - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Momoju

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Momoju
Nchi Mayote , Ufaransa
Bahari mbele ya Momoju pamoja na jahazi za mapunziko wakati wa jioni.

Momoju ni mji mkuu wa eneo la ng’ambo la Ufaransa la kisiwa cha Mayote . Iko kwenye kisiwa kikuu cha Maore . Kuna takribani wakazi 45,000.

Utawala [ hariri | hariri chanzo ]

Mji una vijiji sita pamoja na kitovu cha mji mwenyewe, ndivyo Kaweni (hapa kuna viwanda), Mtsapere , Pasamainti , Vahibe , Tsoundzou I na Tsoundzou II .

Eneo lake hutawaliwa katika wilaya tatu za Momoju I, Momoju II na Momoju III.

Wakazi [ hariri | hariri chanzo ]

Mabadiliko ya idadi ya wakazi
1991 1997 2002
20 307 32 733 45 485
Namba kamili zimepatikana tangu 1991







Wakazi katika vijiji
Village 1997 2002
Kavani 3 948 5 488
Kaweni 6 206 9 604
Momoju 5 666 6 533
Mtsapere 6 979 10 495
Pasamainti 5 173 6 008
Tsountsou I 2 093 3 058
Tsountsou II 574 1 063
Vahibe 2 135 3 236






Viungo vya Nje [ hariri | hariri chanzo ]