Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani ya mlangobahari wa Sunda
Mlangobahari wa Sunda
ni sehemu ya
bahari
ambayo iko kati ya
visiwa
vya
Java
na
Sumatra
huko
Indonesia
.
Inauganisha
Bahari ya Java
na
Bahari Hindi
.
Upana
wake ni
km
24.
Katika eneo hili
mwaka
1883
ulitokea
mlipuko
wa
volkeno
ya
Krakatau
uliofunika
mazingira
yote na uvumbi wa
majivu
yake.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Asia
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mlangobahari wa Sunda
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|