Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Ubangi Kusini
ni mmoja ya
mikoa
26 ya kujitawala ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
.
Jina
linatokana na
mto
Ubangi
.
Idadi
ya wakazi wake ni takriban 2,744,345.
Mji mkuu
ni
Gebena
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Ubangi Kusini
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|