Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sivas
ni jina la
mkoa
uliopo mjini mashariki mwa sehemu ya kanda ya
Anatolia
ya Kati huko nchini
Uturuki
. Huu ni mji wa pili kwa ukubwa katika
orodha ya miji ya Uturuki
. Mikoa inayopakana karibu na mkoa huu ni pamoja na
Yozgat
kwa upande wa magharibi,
Kayseri
kwa upande wa kusini-magharibi,
Kahramanmara?
kwa upande wa kusini,
Malatya
kwa upande wa kusini-mashariki,
Erzincan
kwa upande wa mashariki,
Giresun
kwa upande wa kaskazini-mashariki, na
Ordu
kwa upande wa kaskazini. Mji mkuu wake ni
Sivas
.
Mkoa wa Sivas umegawanyika katika wilaya 17 (mji mkuu
umekoozeshwa
):
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Sivas
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|