Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Muonekano mji wa Sinop
Sinop
ni jina la kutaja
mkoa
uliopo nchini
Uturuki
, katika eneo la
Bahari Nyeusi
. Mji umechukua eneo la kilomita za mrabva zipatazo 5,862. Mikoa inayopakana na mkoa huu ni pamoja na
Kastamonu
kwa upande wa magharibi,
Corum
kwa upande kusini, na
Samsun
kwa upande wa kusini-mashariki mwa nchi. Mji mkuu wa mkoa huu ni
Sinop
.
Mkoa wa Sinop umegawanyika katika wilaya 9 (mji mkuu
umekoozeshwa
):
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Sinop
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|