Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Rumonge
ni mmoja kati ya
mikoa ya Burundi
. Ulianzishwa
mwaka
2015
kutokana na
mkoa wa Bururi
na
mkoa wa Bujumbura Vijijini
.
Mji mkuu
ni
Rumonge
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Burundi
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Rumonge
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|