Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Mardin
(
Kisyria
: ??????? "Merdin" kwa kuhusina na lugha ya Kisemiti
Kiarabu
: ?????? ,
Mard?n
au "Merdin" ) ni jina la
mkoa
uliopo nchini
Uturuki
, wenye wakazi takriban 745 778.
[1]
Awali idadi ya wakazi ilikuwa 835,173 kunako mwaka wa 2000
[2]
.
Mkoa wa Mardin umegawanyika katika wilaya 10 (mji mkuu '
umekoozeshwa
):
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Mardin
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|