Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Lomami ya Juu
ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,540,127. Mji mkuu ni
Kamina
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Lomami Juu
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|