한국   대만   중국   일본 
Mkoa wa Bayburt - Wikipedia, kamusi elezo huru Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Bayburt

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ngome ya Bayburt
Mkoa wa Bayburt
Maeneo ya Mkoa wa Bayburt nchini Uturuki
Maelezo
Kanda : Kanda ya Bahari Nyeusi
Eneo : 3,652 (km²)
Idadi ya Wakazi 85,455 TUIK 2007 (est)
Kodi ya Leseni : 69
Kodi ya eneo : 0458
Tovuti ya Gavana http://www.bayburt.gov.tr
Utabiri wa hali ya hewa turkeyforecast.com/weather/bayburt


Bayburt ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki . Mji mkuu wake ni Bayburt . Idadi ya wakazi ni 85,455 na jumla ya eneo la kilomita za mraba ni 3,652.

Wilaya za mkoani hapa [ hariri | hariri chanzo ]

Mkoa wa Bayburt umegawanyika katika wilaya 3 (mji mkuu umekoozeshwa ):

Viungo vya Nje [ hariri | hariri chanzo ]