Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mkoa wa Ardahan
ni mkoa uliopo kaskazini-mashariki ya mbali huko nchini
Uturuki
. Mkoa huu upo mwishoni kabisa mwa nchi, ambapo kuna mpaka wa Uturuki na nchi ya
Georgia
.
Mji mkuu wake ni
Ardahan
.
Mkoa wa Ardahan umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu
umekoozeshwa
):
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Uturuki
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Mkoa wa Ardahan
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|