Michael Cunningham (amezaliwa 6 Novemba 1952 ) ni mwandishi kutoka nchi ya Marekani . Mwaka wa 1999 , alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Bunilizi kwa riwaya yake The Hours .