Michael Stuart Brown (amezaliwa 13 Aprili 1941 ) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza kolesteroli . Mwaka wa 1985 , pamoja na Joseph Goldstein alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .