John Michael Bishop (amezaliwa 22 Februari 1936 ) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani . Hasa alichunguza virusi. Mwaka wa 1989 , pamoja na Harold Varmus alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .