Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mgonjwa
ni
mtu
aliyeingiliwa na
maradhi
.
Mgonjwa anapoumwa huonesha
dalili
mbalimbali za wazi, kwa mfano mgonjwa wa
kichwa
hushika
kichwa
. Kuna pia dalili nyingine za ndani ambazo ni muhimu zaidi kwa sababu zinadokeza chanzo cha
ugonjwa
ambacho ni muhimu kuwahi kupambana nacho.
Mgonjwa huteseka pale ambapo anapoumwa halafu hapewi
huduma ya kwanza
au hata kumwahisha
hospitali
. Ni muhimu kuzingatia kwamba kila mtu ana
haki
ya kuishi, tena vizuri, hivyo ana haki ya kutibiwa.
Pamoja na hayo,
utu
unadai kumpatia mgonjwa mahitaji yake mengine kwa
mwili
(
chakula
n.k.) na kwa
nafsi
(k.mf.
pendo
na
faraja
).
Dini
mbalimbali zinaelekeza namna ya kumhudumia hadi mwisho. Kwa mfano
Wakristo
wa
madhehebu
mbalimbali wanamuombea na kumpatia
sakramenti
, zikiwemo
kitubio
,
mpako wa wagonjwa
na
ekaristi
.
Baadhi ya maradhi husababishwa na
virusi
na
bakteria
.
Kuna njia mbalimbali za
maambukizi
ambazo ni:
|
Makala hii kuhusu mambo ya
tiba
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mgonjwa
kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|