Mgodi ni sehemu au mahali ambapo madini huchimbwa. Mgodi unaweza ukawa wa almasi , dhahabu , mafuta , tanzanaiti , rubi n.k.