Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mdengu
(
Lens culinaris
) ni jina la
mmea
katika
familia
Fabaceae
unaozaa
dengu
(pia
adesi
), mbegu zake ambazo zimo mbili mbili ndani ya makaka. Jina la
jenasi
linatoka kwa umbo wa mbegu unaofanana na
lenzi
mbinuko.
-
Midengu inayobeba maua
-
Maua
-
Maua kwa karibu
-
Rangi tatu za dengu
|
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mdengu
kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|