Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro mdogo
ni
mchoro
uliofanyika hasa katika
vitabu
vilivyoandikwa kwa
mkono
.
Kuanzia
karne ya 16
, hasa
Uingereza
na
Ufaransa
,
matajiri
walipenda kuchorwa namna hiyo hadi ilipobuniwa
kamera
katikati ya
karne ya 19
. Lengo lilikuwa kujitambulisha kwa watu wa mbali, kwa mfano kwa ajili ya
ndoa
, au kuwa na
kumbukumbu
ya mtu mpendwa wakati wa kuwa mbali naye.
Udogo wa mchoro ulifikia pengine
mm
40 × 30.
- Foskett, Daphne (1987).
Miniatures: Dictionary and Guide
. London: Antique Collectors' Club.
ISBN
1-85149-063-9
.
- Coombs, Katherine (1998).
The Portrait Miniature in England
. London: Victoria and Albert Museum.
ISBN
1-85177-207-3
.
- Elizabeth Lounsbery (Januari 15, 1917).
American Miniature Painters
. The Mentor.
{{
cite book
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Mchoro mdogo
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|