May-Britt Moser (amezaliwa 4 Januari , 1963 ) ni mwanasaikolojia kutoka nchi ya Norwei . Hasa alichunguza seli za ubongo . Mwaka wa 2014 , pamoja na mume wake Edvard Moser na John O'Keefe , alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba .