Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Marko Krisini na wenzake
[1]
Stefano Pongracz
[2]
na Melkiori Grodziecki
[3]
(walifariki
Kosice
, leo nchini
Slovakia
,
7 Septemba
1619
) walikuwa ma
padri
, wa kwanza
mwanajimbo
, wengine wawili wa
shirika la Yesu
.
Walifia
imani
ya
Kikatoliki
kwa
amri
ya
mfalme
Mprotestanti
Gabor Bethlen
.
Wanaheshimiwa na
Kanisa Katoliki
kama
watakatifu
wafiadini
. Kwanza walitangazwa na
Papa Pius X
kuwa
wenye heri
tarehe
15 Januari
1905
, halafu watakatifu na
Papa Yohane Paulo II
tarehe
2 Julai
1995
.
Sikukuu
yao huadhimishwa tarehe ya
kifodini
chao
[4]
.
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|