Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Margerita akiwa nje ya nafsi yake.
Margerita wa Cortona
(
Laviano
1247
?
Cortona
22 Februari
1297
) alikuwa
mwanamke
wa
Italia
aliyefanya
toba
katika
Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko
baada ya kuishi na
mwanamume
bila
ndoa
kwa muda wa miaka kumi.
Kwa kushtushwa sana na
kifo
cha ghafla cha huyo hawara wake, alifidia kwa
malipizi
makali
dhambi
za
ujanani
akazama katika mambo ya
mbinguni
kwa kujazwa na
Mungu
karama
za pekee sana.
Papa Benedikto XIII
alimtangaza
mtakatifu
tarehe
16 Mei
1728
.
Sikukuu
yake ni tarehe ya kifo chake
[1]
au 16 Mei.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|