Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Malcolm Guthrie
(
10 Februari
1903
-
22 Novemba
1972
) alikuwa
profesa
wa
Lugha za Bantu
.
Anajulikana kwa
uchambuzi
wa
Lugha
za Kibantu katika
makala
ya
Guthirie 1971
, ambayo yamebaki
makala
muhimu hadi leo ingawa yamezeeka.
Malcolm alizaliwa
Hove
,
Sussex
,
Uingereza
.
Baba
yake alikuwa ametokea
Uskoti
na
mama
yake
Uholanzi
.
Makala
[1]
yake ni
Comparative Bantu
[2]
ambayo yalichapishwa katika matoleo manne:
- Toleo la kwanza: mwaka wa 1967
- Toleo la Pili: 1971
- Toleo la Tatu na la Nne: 1970.
Matoleo haya yanatoa ainisho la jumla la
Lugha za Bantu
na pia kuyapa muundo mpya makala ya
Proto Bantu
kama
Lugha itarajiwayo
ya
familia ya Kibantu
.
Katika
muundo
wake mpya wa makala hiyo, Guthrie alitoa data kutoka 'Lugha 28 za majaribio' ambazo zilichaguliwa bila mpangilio maalumu.
Malalamiko yametolewa, kwa mfano na Mohlig
[3]
, kwamba jambo hili linafanya makala yake kuwa ya kutotegemewa, kwa vile
lugha
zilizoundwa upya, na hivyo
ukoo
unaweza kuwa tofauti kutoka iwapo mmoja atabadilisha chaguo la lugha.
Guthrie pia alichapisha kwa ukubwa kuhusu lugha nyingi za Kibantu, ikiwemo
Lingala
,
Baemba
,
Mfinu
na
Lugha ya Teke
.
- ↑
Guthrie, Malcolm (1948)
The classification of the Bantu languages.
London: Oxford University Press for the International African Institute.
- ↑
Guthrie, Malcolm (1967?71)
Comparative Bantu: an introduction to the comparative linguistics and prehistory of the Bantu languages
. 4 vols. Farnborough: Gregg Press.
- ↑
Mohlig, Wilhelm J.G. (1974) ‘Guthries Beitrag zur Bantuistik aus heutiger Sicht’,
Anthropos
, 71, 673-715.