Malaika Rafaeli (kwa Kiebrania ???????, R?f???l , " Mungu anaponya" au "Mungu, ponya!") ni malaika anayetajwa na Kitabu cha Tobiti katika Deuterokanoni . Kwa hiyo anaheshimiwa na madhehebu yanayokubali kitabu hicho kama sehemu ya Biblia .
Katika Uislamu ni sawa na malaika Israfili .
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Septemba [1] [2]