Maigizo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mwigizaji wa jukwaani wa awali kabisa, Sarah Bernhardt , akicheza kama Hamlet .

Maigizo ni mpangilio wa maneno unaombatana na utendaji wa wahusika . Wahusika huwa wanaiga mambo ambayo yanafanywa na jamii husika na kuyaonesha mbele ya hadhira . Pia maneno yanayosemwa na wahusika yanalingana na yale ya jamii husika.

Hivyo basi katika sanaa hii hutumika vitendo, misegeo/mijongeo ya mwili na miondoko mbalimbali kwa umbo lenye kuvutia hadhira. Wakati mwingine maigizo huambatana na nyimbo . Utanzu wa maigizo hujumuisha vipera kama vile: matambiko , majigambo , ngonjera , ngoma , vichekesho , michezo ya jukwaani na kadhalika.

Tazama pia [ hariri | hariri chanzo ]

Vyanzo [ hariri | hariri chanzo ]

Viungo vya nje [ hariri | hariri chanzo ]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno: