Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maabara
(kutoka
neno
la
Kiarabu
; kwa
Kiingereza
:
Laboratory
) ni
jengo
au
chumba
maalumu kinachotumika kwa ajili ya
majaribio
na utafiti wa
kisayansi
.
Kuna aina mbalimbali za maabara, mfano: maabara za
biolojia
, maabara za
kemia
, maabara za
fizikia
n.k.
Vilevile kuna maabara zinazotumika katika
hospitali
na katika majaribio mengine ya kisayansi. Kwa mfano, maabara ya biolojia ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio yahusuyo
viumbe hai
.
Maabara za zamani katika nchi ya
Uingereza
zilikuwa za kutengenezea
dawa
.
Vita vya pili vya dunia
vilifanya maabara ziwe kubwa kwa minajili ya kutengenezea
zana za vita
za
kiatomiki
.
Leo maabara bado zinatumika kwa madhumuni ya kutengenezea na kujaribu dawa, kuunda zana za vita na pia kufundisha katika
shule
.
- 1. Usiingie ndani ya maabara mpaka uruhusiwe.
- 2. Usikimbie ndani ya maabara.
- 3. Usile kitu chochote ndani ya maabara.
- 4. Usitumie
kifaa
kilichoharibika.
- 5. Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
- 6. Usifanye kitu chochote bila
ruhusa
- 7. Osha
mikono
baada ya kumaliza kufanya majaribio au
utafiti
- 1. Iwe na
madirisha
makubwa.
- 2. Iwe na
milango
miwili inayofunguka kwa nje.
- 3. Iwe na mfumo mzuri wa
umeme
.
- 4. Iwe na vifaa vya kutosha.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
sayansi
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Maabara
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|