Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfululizo wa kurasa juu ya Yesu
|
|
|
|
Lonjino
(kwa
Kilatini
Longinus
[1]
) ni
jina
linalotumika
[2]
kwa
askari
aliyemchoma kwa
mkuki
Yesu
akiwa
maiti
msalabani
kadiri ya
Injili ya Yohane
19:34-37
[3]
.
Ingawa
Biblia
haina habari zaidi juu yake, inasadikika kwamba baadaye akawa
Mkristo
[4]
na pengine hata kwamba
akamfia
.
Tangu kale anaheshimiwa kama
mtakatifu
, hasa tarehe
16 Oktoba
(
Kanisa Katoliki
[5]
,
Waorthodoksi
na
Anglikana
), lakini pia tarehe
22 Oktoba
au
14 Novemba
(
Waorthodoksi wa Mashariki
) na tarehe nyingine nyingi.
- ↑
See at
Kontos
; "The name cannot be ascribed to any tradition; its obvious derivation from logch? (λ?γχη), spear or lance, shows that it was, like that of
Saint Veronica
, fashioned to suit the event," noted Elizabeth Jameson,
The History of Our Lord as Exemplified in Works of Art
1872:160.
- ↑
Barber, Richard
(2004).
The Holy Grail: Imagination and Belief
(kwa Kiingereza). Harvard University Press. uk.
118
.
ISBN
9780674013902
. Iliwekwa mnamo
24 Machi
2019
.
gospel of nicodemus Hello
{{
cite book
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
http://www.santiebeati.it/dettaglio/45450
- ↑
Fuhrmann, Christopher (11 Aprili 2014).
Policing the Roman Empire: Soldiers, Administration, and Public Order
(toleo la Reprint). Oxford University Press. uk. 231.
ISBN
978-0199360017
.
{{
cite book
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)
- ↑
Martyrologium Romanum
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Lonjino
kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|