Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lions Club International
(
kifupi
:
LCI
) ni
klabu
iliyoanzishwa
mwaka
1917
katika
mji
wa
Chicago
nchini
Marekani
[1]
kama
taasisi
isiyojiendesha kifaida.
Kwa sasa
makao yake makuu
yapo katika eneo la Oak Brook,
Illinois
.
Kufikia
Januari
mwaka
2020
taasisi hii ilikuwa na jumla ya wanachama
milioni
moja
nukta
nne
, na klabu zipatazo 46,000 katika nchi zaidi ya
mia mbili
duniani
kote
[2]
.