Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charles Lutwidge Dodgson
, au
Lewis Carroll
(
Daresbury
27 Januari
1832
?
Guildford
14 Januari
1889
), alikuwa mwandishi wa
riwaya
nchini
Uingereza
. Hususani anafahamika zaidi kwa riwaya yake ya
Alice's Adventures in Wonderland
(
1865
) na
Through the Looking-Glass, and What Alice Found There
(
1871
).
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Lewis Carroll
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|