Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leslie Marmon Silko
(au
Leslie Marmon
; alizaliwa
Machi 5
,
mwaka
1948
) ni
mwandishi
wa
Marekani
,
mwanamke
wa
kabila
la
Waindio
la Laguna Pueblo, na ni mmoja wa watu muhimu katika Wimbi la Kwanza la mkosoaji wa fasihi
Kenneth Lincoln
lililoitwa
Renaissance
ya Native American.
Silko alikuwa mpokeaji wa kwanza wa MacArthur Foundation Grant mnamo mwaka
1981
, tuzo ya
Native Writers' Circle of the Americas
[1]
na Tuzo ya Robert Kirsch mnamo mwaka
2020
.
[2]
Hivi sasa anaishi
Tucson
,
Arizona
.
|
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Leslie Marmon Silko
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
Mnamo mwaka
1965
, aliolewa na Richard C. Chapman, na kwa pamoja, walipata na mtoto wa kiume, Robert Chapman, kabla ya kuachana mnamo mwaka
1969
.
Mnamo mwaka
1971
,yeye na John Silko walifunga ndoa. Walikuwa na mtoto wa kiume, Casimir Silko.
[1]
Ndoa hii pia ilimalizika kwa talaka.
|
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Leslie Marmon Silko
kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|