Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Leseni
(kutoka
neno
la
Kiingereza
"license") inaruhusu
mtu
au
kampuni
kufanya
kitu
ambacho watu au kampuni nyingine hawaruhusiwi kufanya.
Mtu hupaswa kulipa
pesa
, na labda kupitia
majaribio
, ili kupata leseni. Aina nyingi za leseni zinaweza kutumika tu na mtu aliyepewa. Leseni inaweza kuwa ya
muda
au ya
kudumu
.
Mtu mwenye leseni anaitwa "mwenye leseni" (kwa
Kiingereza
licensee
).
|
Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Leseni
kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|