Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Laki
(pia
Lakhi
) ni neno lenye asili ya
Kihindi
linalotumika kutaja
namba
100,000, ambayo inafuata 99,999 na kufuatwa na 100,001. Inaweza kuandikwa pia 10
5
.
Kwa mfano,
Mji
una wakazi laki tano, yaani
mia
tano
elfu
.
Namba 650,000 inaweza kusomwa "laki sita na nusu".
Neno limeingia katika
Kiswahili
kutokana na
historia
ndefu ya
mawasiliano
ya ki
biashara
kati ya
Bara Hindi
na
pwani
ya
Afrika ya Mashariki
.
Pengine inasikika kwamba
wingi
wake ni neno
lukuki
, lakini matumizi ya kawaida ni tofauti.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
hisabati
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Laki
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|