Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lakabu
ni
jina
la kupanga analojipa au analopewa
mtu
kutokana na sifa fulani alizonazo kimaumbile ama kiutendaji.
Kwa mfano baadhi ya
waandishi
hujipa majina kurejelea uwezo walionao katika
utunzi
wa kazi fulani za kifasihi, ama watu wakamsifia
mhusika
fulani kwa kumpa jina kando na lile lake asilia.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Lakabu
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|