Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
11°31′N
25°2′E
/
11.517°N 25.033°E
/
11.517; 25.033
Darfur Kusini
(kwa Kiarabu:
???? ??????
,
Janob
Darfor) ni moja kati ya majimbo 26 ya
Sudan
. Ni mojawapo ya majimbo matatu yanayojumuisha eneo la
Darfur
magharibi
mwa Sudan. Lina ukubwa wa eneo la
kilomita mraba
127,300 na
idadi
ya watu inayokadiriwa kuwa 2,890,000 (2006).
Nyala
ndio
mji mkuu
wake. Kwa hakika, Darfur ndilo jimbo kubwa zaidi nchini Sudan.
Historia
ya Darfur Kusini ni sawa na ile ya
Darfur
.
|
Makala hii kuhusu maeneo ya
Sudan
bado ni
mbegu
.
Je unajua kitu kuhusu
Darfur Kusini
kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|