Knut Hamsun ( 4 Agosti 1859 ? 19 Februari 1952 ) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Norway . Hasa aliandika mashairi na riwaya . Mwaka wa 1920 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi .