Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Yesu Kristo
akipanda
msalaba
moyoni
mwa Mt. Klara (
mchoro wa ukutani
wa
karne ya 14
).
Klara wa Montefalco
(
Montefalco
,
Perugia
,
Umbria
,
1268
-
Montefalco
,
17 Agosti
1308
) alikuwa
mmonaki
wa
Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko
, halafu
abesi
wa
shirika
la
Waaugustino
[1]
.
Bikira
huyo alimpenda motomoto
Kristo
katika
mateso yake
[2]
Papa Leo XIII
alimtangaza
mtakatifu
tarehe
8 Desemba
1881
.
Sikukuu
yake huadhimishwa tarehe 17 Agosti
[3]
.
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
|
Makala hii bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuiongezea habari
.
|