Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiweyto
ilikuwa lugha nchini
Ethiopia
iliyozungumzwa na
Waweyto
. Idadi ya Waweyto imehesabiwa kuwa watu 1630 lakini hakuna aendeleaye kuongea Kiweyto, maana yake lugha ya Kiweuto kimetoweka. Waweyto wengi huzungumza
Kiamhara
. Kufuatana na uainishaji wa lugha, haijulikani kama Kiweyto ni lugha ya Kiafrika-Kiasia au ya Kinilo-Sahara.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kiweyto
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|