Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kithai
ni
lugha ya taifa
na
lugha rasmi
ya nchini
Thailand
pamoja na kuwa
lugha mama
ya
Wathai
,
kundi
kubwa la watu nchini Thailand.
Karibu watu
milioni
70/75 wanazungumza
lugha
hiyo
[1]
.
Ni lugha muhimu zaidi kati ya
lugha za Kitai
, ambazo zinaunda
tawi
la
lugha za Kra-Dai
.
Alfabeti
Alfabeti
ya Kithai ina
herufi
44.
? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ? ?
Lugha ya Kithai ina
tarakimu
zake za pekee pia: ? 1
? 2
? 3
? 4
? 5
? 6
? 7
? 8
? 9
? 0
Viungo vya nje
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kithai
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|
.
- ↑
Peansiri Vongvipanond (Summer 1994).
"Linguistic Perspectives of Thai Culture"
.
paper presented to a workshop of teachers of social science
. University of New Orleans. uk. 2. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka
chanzo
mnamo 20 Novemba 2012
. Iliwekwa mnamo
26 Aprili
2011
.
The dialect one hears on radio and television is the Bangkok dialect, considered the standard dialect.
{{
cite web
}}
: CS1 maint: date auto-translated (
link
)