Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitawa
ni aina ya
chakula
.
Ndizi humenywa na hukatwakatwa vijipande vidogo, hupikwa karibu na kuiva, huongezwa magadi vinapikwa vyote na kuiviana. Hupondwapondwa na kuwa laini kama
ugali
. Baada ya hapo huwekwa maziwa ya mgando, hukorogwa kwa
kifaa
kiitwacho
kipekecho
na kuwa laini kwa ajili ya matumizi.
Chakula hiki hupewa
wanawake
wakati wa
uzazi
,
vijana
wakati wa
unyago
, na
wagonjwa
. Chaweza kutumika kwa
watu
wa kawaida au
watoto
.
|
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kitawa
kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|