Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kitate
ni
neno
linalofanana na lingine lakini lenye maana tofauti. Mara nyingine tofauti ni
fonimu
moja, ambayo tena haitambulikani na kwa baadhi ya watu kwa jinsi wanavyotamka
herufi
kadhaa. Ndiyo maana unatokea utata. Kwa mfano katika
Kiswahili
, si wengi wanaotofautisha vizuri "zamani" (wakati), "samani" (fenicha) na "thamani" (bei).
Kwa sababu hiyo ni muhimu msemaji atamke na
mwandishi
aandike vizuri neno kadiri ya
tahajia
yake sahihi kulingana na maana iliyokusudiwa.
|
Makala hii kuhusu mambo ya
lugha
bado ni
mbegu
.
Je, unajua kitu kuhusu
Kitate
kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa
kuihariri na kuongeza habari
.
|